Transcript · English

Kenya and Uganda Business Cooperation

Taifa la Kenya na taifa ya Uganda, mimi ndio nilianzisha, eh,

hii maneno yote.

Na nilienda nikakiongea na mzee Museveni, nikatumana kwa dada yangu, ee,

Samia Suluhu.

Hakuna wasama wote. Usiko na wasiwasi.

Hakuna wasiwasi yote. That's why we are moving forward full steam.

You know?

Maneno ambayo inaendelea ni mambo tu kawaida ya biashara.

Unajua kuna wafanyabiashara wengine wamesema watajenga kiwanda

kule, eee,

Uganda.

Ndogo. Na tumekubaliana na mzee Museveni iyo

ndogo

itajengwa kule,

eeh, kule Uganda. Na ikitengeneza kule

Uganda na kama mafuta ya iyo ita-- mahali

itajengwa inakaribia Busia na inaweza kufika Busia

pale kwa bei ya chini, tutanunua mafuta kutoka iyo ya Uganda

pale,

tulete Busia. There is no problem.

Na Rice labda-

Tutaaa, aah, ii ya kutoka ye kwetu hapa,

tutatumia kusupply mahali itafika.

For your information,

eeeh, maf-- eh, we will need another refinery.

Ii ambayo inajengwa La-Lamu haiwezi kutu-,

eh, kutusupply sisi wote.

You know, bado itahitajika hii ya hapa kupanuliwa.

Ukienda sasa ile ya Nigeria,

mulisikia Dangote mwenyewe akisema ni six hundred and

fifty. Lakini sasa anatengeneza line nyingine

mpya

six hundred and fifty

ndio iweze tukusupply ile nchi ziko pale.

So we have enough opportunity. Mimi nimesema ya kwamba

hata kama ile ya Tanga itajengwa,

sisi kama Kenya tutaenda kununua shares kidogo kule Tanga. There is no problem.

Kwa sababu hii ma-- ii, ii viwanda yote haya yatakuwa

ni viwanda ya jumuiya ya bara letu la East Africa.

Na

bora inasafisha mafuta ambayo itasaidia wananchi wa hapa.

There is no-- hakuna, hakuna shida ya, ya vile itaenda mbele.

Na mimi nataka niwahakikishie, msi-si tuko hapa Kenya?

You will see in the next few years, there will be no issue

End of transcript · 280 words · machine translated

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Read any video in your language

Paste a link from X, TikTok, YouTube or Instagram. You get a page like this one.