Transcript · Swahili

Swahili transcript

Tunaiona hii familia,

tunamuona huyu dada yetu au mama ambaye ana mtoto wake pia.

Kidogo ambaye ni mtu mzima au tuseme ni rika ambayo ni kubwa lakini

bado ananyonya... ...

huyu mama bado maziwa yake yanatoka kabisa ananyonyesha hapa alipo.

Atatuambia ilikuwaje kwa nini, ehe, anaitwa nani, mama nani.

Vitu vyote hapa tutapata stori yake kabisa. Habari dada. Salama.

Kwema? Kwema.

Tungependa kufahamu unaitwa nani, ehe, hapa... ...sehemu tupo wapi,

utambulisho wako kabisa.

Mimi naitwa Rehema.

Naishi hapa Nachingwea.

Um, mtoto wangu hapa anaitwa Hamisi.

Mama Hamisi. Mmh. Nachingwea hapa sehemu gani hapa tufahamu zaidi.

Hapa ni maeneo ya Voda. Ee.

Haya. Sasa tunataka tufahamu, Hamisi ana umri gani?

Huyu mwanangu ana miaka kumi saba.

Mmh, ana miaka kumi saba.

Kumi saba? Sasa tunataka kufahamu,

ndani ya miaka kumi saba hiyo ina maana... ...toka amezaliwa wewe ina

maana ulikuwa unanyonyesha tu? Ee namnyonyesha, ni bado mdogo huyu. Mdogo sana.

Kwa hiyo sipo tayari kumuachisha kunyonya yeye mwenyewe anapenda kunyonya sana.

End of transcript · 159 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Read any video in your language

Paste a link from X, TikTok, YouTube or Instagram. You get a page like this one.