Transcript · Swahili
Swahili transcript
Yeshila Police Tanzania limipata tarifa za watu ambao siuraia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwanjia zisiso rasmi kwania kufanya uhalifu ikiwepo vurugu.
Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shuguri mbali mbali ikiwepo boda boda.
Tarifa zinasema watu hao wapo katika mikoa ya Arusha, Darisalama, Mbea, Mwanza, Songwe na mikoa mingineu.
Wakati Yeshila Police ninaendelea kuwa fatiria ili kuwa chukulia hatu wakari kwa mugi buwasheria,
mwananchi oyote ambae hamempangisha hao wanaishi na raya oyote wakigeni,
Asie famika na anafanya shuguri gani na miendo yake ni akutia mashaka atoe tarifa haraka sana kwa viongozi wa selekali za mita,
wakuwa vituwa vya polisi, wakuwa polisi wa wilaya, makamanda wa polisi mikoa,
hao atoe tarifa kwa kupigia sim kupitia number 0699999999.
Asipotua tarifa na watu hao wakikutua nyumbani kwake hao kwenye biyashara yake hatu wakari za kisheria zita chukuliwa zidi yake.
Jeshi la polisi inaendelea kuwa kishia wananchi kuwa kushirikiano na vyombo vingini byaulizi na usalama.
Inaendelea kuwa kisha taifaletu inaendelea kuwa salama na lenye amani.
End of transcript · 161 words