Transcript · English
Political Speech in Kirinyaga
Nikiwa nimesimama hapa Kirinyaga, nyinyi vile nimuwasikia,
mnajua nani anafaa kuwa candidate, nani anafaa kuwa deputy.
Sasa, situmalize hii kesi leo?
Tumalize hii kesi leo.
Mi najua hapa kwa mlima pia nyinyi mko na mtu wenu, si ndio?
Riggy G pia yuko hapa, si ndio? Umeskia Linda Mwananchi
wamesema huyu Sifuna ako saw. Mheshimiwa Kalonzo yuko hapa.
Mheshimiwa Matiangi yuko hapa. Hii kesi situachie watu wa Kirinyaga,
simumalize hii kesi leo. Mnanionaje?
Niko waje?
Nikipewa bendera, huyu Kasongo ataenda ama ataenda?
Aha, kesi imeisha. Asante sana. Nina hapa ya kwamba
nitatumikia Jamhuri ya Kenya
kulingana na sheria na katiba iliyopo.
Asante sana na Mungu awabariki.
End of transcript · 105 words · machine translated