Defense of force used against protesters in Tanzania

Kulinda nchi hii mipaka yake, kulinda usalama wa raia mali zao.

katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana tukio lililopo.

Sasa, Tunapoambiwa kwamba tulitumia nguvu kubwa sana kwenye tukio lile,

nguvu ndogo ilikuwa ni ipi?

Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

Hapo patakuwa pana dola kweli?

Dola haiko hivyo.

hayapo Tanzania peke yake. Tulishashuhudia kwa wenzetu.

Waandamanaji wengi wanaingia njiani.

wakiingia njiani serikali ikiona huu uandamanaji unakwenda pasipo,

wanaweka nguvu kubwa. Wanaweka nguvu kubwa.

Yameshafanyika kwenye mataifa huko tumeaona.

Sasa wanaporudi kutulaumu mlitumia nguvu kubwa,

wao walitaka nini?

Tujiulize je hao ndio wafadhili wa kile kilichofanyika?

Walitaka tuangalie ile mob mpaka ifanikiwe walichowapa fedha,

walichowatuma?

Hapana.

Tuliapa kulinda nchi hii.

End of transcript · 111 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Read any video in your language

Paste a link from X, TikTok, YouTube or Instagram. You get a page like this one.

© 2026 TranslateMom Transcripts Sources Pricing Legal