Analysis of Conflict in Congo

Kongo kwa faida ya mtazamaji, ukubwa wake ni sawasawa na Ulaya

Magharibi yote kwa pamoja. Ni taifa ambalo unaweza ukasema ni

zaidi ya nchi. Ni kama bara lina mipaka tisa.

Huku mashariki ya Kongo kuna magharibi na mashariki.

Mashariki ya Kongo ambapo tunapakana nao, Democratic Kongo.

Kuna Tango- Tanzania. Halafu tuna Uganda,

tuna Burundi, tuna Rwanda ncha- ncha tatu hiyo, unwezo.

Halafu tuna Zambia,

nchi kalibu tano. Ni mashariki tu.

Eh, halafu wana magharibi kule wapo wana

Angola,

kuna Central Republic, ee, ncha- Jamhuri ya

Kati. Halafu wana pia Sudan. Wanapaka nchi ya-

ya misomo moja. Eh, jumla tisa.

Sasa hiyo nchi ni kubwa sana. Watu wapatao mia mo- la- la-

million mia moja na pengine zaidi.

Kongo ina makabila mia nne. Mia nne!

Kuna makabila Kongo wenyewe hawajui.

Yaani mtu analikuta kabila hajawahi kulisikia.

Vyama vya siasa ulikuwa unazungumzia vyama vya siasa.

Wanavyo vyama vya siasa, ee, vipataavyo mia nne pile vilevile kwa

mujibu wa takwimu. Halafu wana vikundi

vinavyopigana vipataavyo mia moja.

Kwa maana wale Mai Mai wenyewe wamegawanyika.

Kongo ukiangalia, ukiangalia,

ukiangalia kitunguu unapanza kukimenya.

Yaani vita vya Kongo kuna vita ndani ya vita.

Ukifungua hii kuna vita, kuna vita, kuna vita.

Kwa hiyo vita vya Kongo sio tu M23 dhidi ya jeshi la

serikali. Lakini ndani ya Kongo kuna vita pia

vinaendelea

miongoni mwa vikundi mbali mbali.

End of transcript · 221 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Read any video in your language

Paste a link from X, TikTok, YouTube or Instagram. You get a page like this one.

© 2026 TranslateMom Transcripts Sources Pricing Legal