0:00

Kongo kwa faida ya mtazamaji, ukubwa wake ni sawasawa na Ulaya Magharibi yote kwa pamoja. Ni taifa ambalo unaweza ukasema ni zaidi ya nchi. Ni kama bara lina mipaka tisa.

0:11

Huku mashariki ya Kongo kuna magharibi na mashariki.

0:14

Mashariki ya Kongo ambapo tunapakana nao, Democratic Kongo.

0:18

Kuna Tango- Tanzania. Halafu tuna Uganda, tuna Burundi, tuna Rwanda ncha- ncha tatu hiyo, unwezo.

0:26

Halafu tuna Zambia, nchi kalibu tano. Ni mashariki tu.

0:30

Eh, halafu wana magharibi kule wapo wana Angola, kuna Central Republic, ee, ncha- Jamhuri ya Kati. Halafu wana pia Sudan. Wanapaka nchi ya- ya misomo moja. Eh, jumla tisa.

0:46

Sasa hiyo nchi ni kubwa sana. Watu wapatao mia mo- la- la- million mia moja na pengine zaidi.

0:53

Kongo ina makabila mia nne. Mia nne! Kuna makabila Kongo wenyewe hawajui.

0:58

Yaani mtu analikuta kabila hajawahi kulisikia.

1:01

Vyama vya siasa ulikuwa unazungumzia vyama vya siasa.

1:03

Wanavyo vyama vya siasa, ee, vipataavyo mia nne pile vilevile kwa mujibu wa takwimu. Halafu wana vikundi vinavyopigana vipataavyo mia moja.

1:13

Kwa maana wale Mai Mai wenyewe wamegawanyika.

1:16

Kongo ukiangalia, ukiangalia, ukiangalia kitunguu unapanza kukimenya.

1:23

Yaani vita vya Kongo kuna vita ndani ya vita.

1:26

Ukifungua hii kuna vita, kuna vita, kuna vita.

1:28

Kwa hiyo vita vya Kongo sio tu M23 dhidi ya jeshi la serikali. Lakini ndani ya Kongo kuna vita pia vinaendelea miongoni mwa vikundi mbali mbali.

End of transcript · 221 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Made with TranslateMom

TranslateMom transcribes and translates videos from X, TikTok, YouTube and Instagram. Paste a link and you get a page like this one, in your language.

Transcribed with TranslateMom. Paste any video link to get subtitles and a transcript in your language.

© 2026 TranslateMom · AI video translation and subtitles Transcripts Sources Pricing Legal