Dangote Oil Project and Pipeline Plans

Kuhusiana na suala la mradi wa Dangote hapo.

Ah maswali kichwani tuna watu wanauliza labda ma

tu Dangote ama kiwanda hicho kitakuwa kinazalisha zaidi ya

tani aah

aah el naam elfu mia saba labda mafuta ghafi haya yatakuwa

yanatoka wapi? Maana tunajua kwamba nchi za Afrika

Mashariki hazina

ule uwezo wa kuweza kuzalisha mafuta aah ghafi ki

kiasi hiki. Na ikizingatiwa kwamba tunataka tu

kuendelea kupanua ili

tuwezi kutimiza yale mahitaji yetu ya mafuta.

Labda tutakuwa tunatwa wapi mafuta haya na nafasi ya taifa la

Kenya tunajua kwamba tuna mafuta Turkana iko wapi?

Aahm

kwanza tumekubaliana naaa aah

Dangote

ya kwamba yeye atasaidia sisi kama Kenya

kujenga mfereji ama pipeline

ambayo itaunganisha hii Lamu

na kule Turkana

ili tuweze kuyaleta yale mafuta hata ingawaje ni ni kidogo

tuyalete Lamu.

So tumekwishakubaliana na yeye na amekubali kuwekeza to

invest in a pipeline

from Lamu

to eeeh to Turkana.

Lakini mimi niliwahidi nyinyi wakenya, niliwambia

ile mafuta iko pale Turkana

tutatoa

before December this year.

Itakuwa ina imeanza tumeanza kuhamisha kutoka kule umeanza

kubeba

before

si nyinyi ni watu wa kuweka ma majira.

Ndio mnasumbua nayo.

So

December mwaka huu kwa mapenzi ya Mungu

ile mafuta ya Turkana ambayo imekwama karibu miaka sijui ngapi

tutaianza kuitoa pale.

Na nimeongea na huyu Bwana Dangote ya kwamba

wakati anaendelea na kujenga Lamu pia

tuweke eee mfereji ya kutoka hapa.

Tunaongea na nchi jirani ya Sudan

na walikuwa hapa jana

and just to answer your question

ile umetema Samia Suluhu mimi nimeongea naye.

Ametuma waziri wake hapa.

Rwanda ametuma waziri ake hapa. Burundi walikuwa hapa.

Ruanda eee Uganda walikuwa hapa.

Kama kungekuwa na us uhasama hawa hawa hiyo nchi

zote asingekuwa hapa. So just to answer your question.

Lakini eeh to answer his question.

So number one Lake Turkana I have asked you I have answered you that

we have already agreed with the investor ya kwamba

tuta yeye atainvest

eee kuweka mfereji kuhakikisha kwamba mafuta ya

kutoka Turkana imefika Lamu. Lakini nimekuongezea ile

haukuuliza ya kwamba mwaka huu

pia hiyo Turkana tutaanza kutoa mafuta ya pale.

Ni wapi tutatoa haya mafuta

ghafi

itatoka kila sehemu.

The same way hata ile ya Dangote ambayo ana

eee ana anaendesha kule

Leki kule Lagos

anatoa crude everywhere in the world.

Mahali anapat mahali unapata grude crude kwa binafu unatoa ku

kuko ndio unakuja unasafisha. Huyohuyo Dangote analeta

mafuta kutoka sehemu zote duniani.

Anaosha ama anasafisha pale eee Leki na

ulisikia yeye mwenyewe anasema twenty percent ya

jet fuel ya Europe inatoka

inatoka Nigeria. So hata hapa Kenya baadhi ya

ile mafuta itaoshwa hapa Kenya ama itasafishwa hapa

Kenya itakuwa ya Kenya jet fuel kwa

sababu hatuna ndege nyingi pengine itauzwa Marekani zingine

zitauzwa sehemu zingine za za dunia kulingana na

ile eee soko ambayo itakuwa imepatikana.

So that's how it's going to be. That is how all refineries do.

Unajua refinery haiwezi kutumia mafuta

ama crude oil aina moja ndio nimeambiwa mimi.

Nimeambiwa ya kwamba you need different different eee types of

crude oil ndio uweze kuchamusha ile mafuta.

So hata kama tungekuwa na yetu

yetu peke yake haiwezi kutengeneza mafuta.

Lazima ichanganywe na zingine. So hata tukitoa yetu Lake

Turkana bado ingine itahitajika kutoka sehemu

zingine ndio ile mafuta ipikwe sawasawa ndio iweze

kuwa

oil products

End of transcript · 540 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Read any video in your language

Paste a link from X, TikTok, YouTube or Instagram. You get a page like this one.

© 2026 TranslateMom Transcripts Sources Pricing Legal