Historia ya Uislamu katika Pwani ya Afrika na Habasha
Allah Subhanahu wa Taala aliwabarikia pamoja na
kuwaneemesha watu wa pwani ya Afrika
kwa kuwatelea Uislamu tangu mwanzo wa da'wah ya Rasulullah
Sallallahu Alaihi Wasallam.
Kuanzia pale walipohamia Uislamu na dini yao wakielekea katika
ardhi ya Habasha katika zama za Rasuli Sallallahu
Alaihi Wasallam.
Kisha Uislamu uliendelea kuenea katika nchi
mbalimbali kutokana na juhudi zisizo za kuchoka
End of transcript · 57 words