Kenya's Mineral Processing Regulations
Sababu madini yalichimbwa hapa.
Na labda ku-kuongezea katika swala hilo Mheshimiwa Rais kwa sababu ametaja swala
la Mrima. Nafikiri ulisikia kauli ya former Deputy
President Rigathi
Gachagua kusema kwamba, ah, kuna madini aina ya Niobium katika
maeneo ya Mrima yenye ha-yenye, aaah, worth ya
takriban eight trillion. Katika ziara yako ya hivi majuzi,
aah, jijini New York, aaah, wa-katika
United Nation General Assembly UNGA, anasema ndio ulikwenda
kukutana na investors kwa nia ya kwamba-
Tafadhali usiniletee maneno ya mtu mjinga kama huyo.
Tafadhali tuongee maneno mengine.
Okay.
Yule ni mpuzi sana yule.
Unaweza-
Yaani wewe una, yaani una, mimi nimeketi hapa Rais wa Kenya
unaniletea mambo ya mtu wazimu?
Ati alisema, alisema, wacha na hiyo. Sikilizeni.
Eehmm, kusema ukweli,
mambo ya madini ni mambo ya muhimu sana.
Ni nini nimefanya ndio tuweze kusaidisha
ile
sekta ya mambo ya madini? Mimi mwenyewe nilisema
Mrima pale tulikuwa
na
madini.
Ile ambayo ilichimbuliwa na Best Tenure.
Tukauza haya madini, yakisha.
Yule m-ikafungwa pale. Ikabaki sasa ni,
eehm, mahame.
Lakini we have no trace
as a country. Watoto wetu kesho
wakituuliza,
kulikuwa na madini hapa,
yalikwenda wapi? Nini ili-- hiyo madini ilitufaidi kwa
njia gani? We cannot.
Ndio nimefanya mambo matatu.
Ya kwanza,
nimesema ya kwamba
madini ya taifa letu la Kenya
yaziuzuwe bila ya kuongezewa thamani.
Ndio sababu tumepiga marufuku
any export of whatever nature
of minerals from Kenya unless they are processed.
Ndio sababu hiyo nimemuambia waziri, nimepatia maagizo
Waziri Joho.
Wale wote wanaosika katika mambo ya madini,
leseni ukipatiwa, hatua ya kwanza unatupatia mpango
wako wa processing hapa Kenya.
So,
na nataka ujue hivi.
Hatua hiyo tulioichukua, watu wengi wanaona kama iko na
matatizo. Ndio hata juzi niliahambiwa wale watu wa
kule Magadi.
Nilioambia hakuna tena kuexport hii maneno.
Walete kiwanda ya glass wapeleke-- walete Kenya.
Walete kiwanda ya chemicals ikuje Kenya.
Na tayari tumewapatia masharti ya vile ama
maagizo ya vile hiyo itafanyika.
Eehm,
nimefanya jambo lingine nikafa-nikaunda sheria.
Katiba sehemu ya,
eh, mia mbili na moja, nafikiri.
Sect-Section 201 and 202 and 203 of the
Constitution of Kenya.
Inasema rasilimali tuliyo nayo
igawanywe kwa usawa
kati ya vizazi ilivyo sasa
na zile zinakuja.
Ndio nikatengeneza sheria, nikapeleka Bunge.
Sheria wamepitisha
ya Sovereign Wealth Fund.
Ambayo sasa
tumepitisha kama taifa
ni sheria.
Sasa hizi natengeneza board,
natengeneza management kuhakikisha
ya kwamba madini yote
ambayo yana,
eehm,
yanakuwa processed hapa Kenya. Tuwe na sehemu
ambayo royalties yake,
sehemu yake itaenda kwenye Sovereign Wealth Fund.
Kwa ajili ya watoto wetu na wale watakao
kuja baada ya wao.
So sasa hatutarudia tena makosa iliyofanyika
hapa katika Best Tenure. So tuko na sheria
mpya ambayo italinda haki ya Wakenya wa sasa
na Wakenya wa baadaye.
Ya pili,
wale wote ambao watakuja Kenya
kushirikiana na sisi
katika mambo ya madini
wakiwemo marafiki zetu wa Marekani,
tumekwisha elewana na wao kabisa ya kwamba
hakuna madini yatatoka Kenya unprocessed.
Haki ya Wakenya
ndio kipaumbele
katika wale wote ambao watakuja, eh,
ku, eh, shiriki pamoja na sisi katika mambo ya
madini.
That is the guideline. Haya mengine unajaribu kusema oooh
sijui nini kuso-kutoka kwa watu wengine hapo, haya ni mambo ya
porojo na upuuzi.
Mheshimiwa Rais, aam,
Wakenya ama wakazi wa kaunti ya Mombasa walikuwa na hamu sana
wewe kufanya ziara kati-
End of transcript · 541 words