Swahili transcript

Chunga nianze kusema, chunga nianze kusema.

No, tunakuwa kujiretrouver tout mon renseignement.

Huyu mama hii masaki yote mnaona iko hapa, ashafungia

watoto yake mu masaki, sasa aende akawatupe.

Fungula bote, fungula bote. Ya bongo, ya bongo.

Bote ashafungia mu masaki. Hii ya bongo, hii

ya bongo, angalia ni pointi gani. Huyu

mutoto moya. Ya bongo, mnaona tena ya bongo.

Chofa telephone, chofa telephone. Bafungule,

ah ah. Anza kufungula pale pale. Unafilmer pole

pole. Naweza kufilmer. Pole pole, pole pole,

ah. Anza kufilmer pole pole, pole pole. Mkabaujishie.

Pole pole, pole pole. Anza kuwatosha, anza kuwatosha.

Unafilmer tu. Angalia hapa. Mama leo sasa nini?

Ah?

Ah, filmer. Acha, acha. Batemwe. Anza kufilmer.

Unafilmer, bia bafilmerke sawa munani. Nafilmer.

Huyu aibe nani, aibe vingt-cinq mille francs

huyu. Toka mbele pale. Hiki kinywa yake hii.

Huyu banga, yenye watoto bebanga. Asema beko

hapa njoo nini. Banjoo iba we makuta. Sasa banaiba

vingt-cinq mille. Banaweka mu saki njoo ya nini?

We kule moya. Asema, bengene bo hapa. Filmer.

Bo hapa. Bana nifunga mu masaki ah. Bengene

bo hapa. Ah?

Moya. Chunga pole pole. Mbele tu, usikile vile.

Sema, sema. Kala pale. Huyu njoo ngili sasa

huyu, huyu njoo aliiba. Chunga pole pole. Kala

chini. Kala chini. Hawa watoto balifanya nini

banaweka mu saki?

Watoto njoo bakala pale. Mujibu, balifanya nini?

Mwikale pale bote pale. Hawa watoto bote balingia

mu masaki njoo ya nini?

Mseme sasa. Ah?

Mama. Hana shida mama. Eh, nyumani ba nani?

Hawa watoto tunabakuta mu saki njoo ya nini?

ba dada yake. Balifanya nini?

Hatujue mambo inawapata. Hatujue mambo inawapata,

njoo banabaweka mu saki. Baliiba makuta. Makuta

ngapi?

Makuta ngapi?

Vingt-cinq mille. Banabapatia punition ya kuwaweka

mu masaki eh?

Njoo ya kuiba makuta eh?

End of transcript · 286 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Read any video in your language

Paste a link from X, TikTok, YouTube or Instagram. You get a page like this one.

© 2026 TranslateMom Transcripts Sources Pricing Legal