Swahili Conversation About a 50,000 Shilling Payment
3 min
3 min
Eh! Eh! Eh, uzuri, uzuri usiseme kitu hicho.
Daida! Umekuja, umekuja. Wewe tu. Ah, ah, ah, ah, ah!
Wewe, wewe tu. Ah! Mambo? Poa, mambo. Swali.
Mna hii, vipi? Mnaondoka? Hii? Hii? Hii. Sawa.
Elfu kumi. Eh? Elfu kumi. Ah, poa, naona.
Mademu wa kwetu huwa hawana hata bei. Elfu tano tu fresh, nikakaa asubuhi.
Mimi naona, viko bei bure. Nimepata kichwa cha elfu hamsini.
Elfu hamsini? Hee, hebu niweze kwanza kidogo hapa nyuma.
Maana leo naona kabisa kazi yangu inaenda kuwa ngumu.
Ule kisini ya cha nani? We kisini ya restaurant hapa juu.
Ha! Wanapatikana mkabala na mlimani city.
Ushapata hela, kesho utaagiza cha kwako uninyime.
Eh. Ulo tu. Na kesho naagiza cha kwangu unakuja uninyime.
Goodbye.
Jana Alhamdulillah ndio akatokea mtu. Eeeh, huyo kaka nakwambia aliniambia atanipea elfu hamsini.
Mimi nilimwambia, Alhamdulillah ndio zako. Eh!
Eeh, ndio hapa mi natoka hapa, nakuja muda si mrefu nitakuwa nishafika.
Eh, mwenzangu, kama unavyojua yeye pia tena.
Angenishusha. Ah, akawa tu haka, hana hata shida, kanyooka, hana shida kabisa.
Eh, basi sawa, mi nakuja kusema.
Eh.
Kaka. Mm. Kaka. Mm. Aya, nipe changu mi nipite.
Mm? Nipe changu, nataka niondoke mi. Ah, unataka utoke?
Sasa dada yangu, jana nimekuita pale nikakwambia, dada yangu, mi na hii, ukasema sawa.
Eeh, hiyo hiyo. Mimi nilikuwa nimekuelewa.
Eeh, sasa hapo elfu arobaini, naomba uniwekee kwenye simu. Halafu hiyo elfu kumi, unipatie mkononi kwa sababu ya bodaboda hii tusisumbuwane.
Nikupe hii? Eeh. Goodbye.
Jana nilikuwa juma ngapi? Ah, ah, siku mbaya.
Dada yangu, yaani umesikia, yaani mimi, mimi hela ambayo niliyonayo ni hii.
Ehe, ndio nakwambiaje? Au na wengine wausingize?
Ah, sasa hapa natamani si, mimi natamani nikwambie si, unilipizia sijui.
Nikulipizia nini?
Natamani nikwambie unilipizie tu hivyo flat.
End of transcript · 284 words
TranslateMom transcribes and translates videos from X, TikTok, YouTube and Instagram. Paste a link and you get a page like this one, in your language.