Gesprek in het Swahili over een betaling van 50.000 shilling
3 min Machine translated
3 min Machine translated
Hé! Hé! Hé, sorry, sorry, zeg dat niet. Daida! Je bent gekomen, je bent gekomen.
Alleen jij. Ah, ah, ah, ah, ah! Jij, alleen jij. Ah!
Alles goed? Goed, alles goed. Een vraag.
Hebben jullie deze? Gaan jullie weg? Deze? Deze? Deze. Oké.
Tienduizend. Hè? Tienduizend. Ah, prima, ik zie het.
Onze meiden hebben meestal niet eens een prijs.
Slechts vijfduizend, helemaal goed, ik bleef tot de ochtend.
Volgens mij zijn ze gratis. Ik heb een klant van vijftigduizend gevonden.
Vijftigduizend? Hé, eerst hier achterin ruimte maken.
Want vandaag zie ik: mijn werk wordt zwaar.
Wiens kisini is dat? Die kisini van het restaurant hier boven.
Ha! Ze zitten tegenover Mlimani City. Je hebt je geld al. Morgen bestel je er zelf een en laat je me zitten.
Hé. Dat is alles. Morgen bestel ik er zelf een, dan kom je langs en laat je me zitten.
Tot ziens.
Gisteren, Alhamdulillah, kwam eindelijk iemand.
Jaaa, die man, ik zeg het je, hij zei dat hij me vijftigduizend zou geven.
Mimi nilimwambia, Alhamdulillah, ni zako. Eh!
Eeh, ndiyo, hapa natoka hapa, nakuja muda si mrefu nitakuwa nimefika.
Eh, mwenzangu, kama unavyojua, yeye pia tena.
Angenishusha. Ah, akawa tu hivi, hana hata shida, amnyookea, hana shida kabisa.
Eh, basi sawa, nakuja kusema.
Eh.
Kaka. Mm. Kaka. Mm. Sawa, nipe changu nipite.
Mm? Nipe changu, nataka kuondoka. Ah, unataka kutoka?
Sasa dada yangu, jana nilikuita pale nikakwambia, dada yangu, mimi na hii, ukasema sawa.
Eeh, hiyo hiyo. Mimi nilikuwa nimekuelewa.
Eeh, sasa hapo elfu arobaini, naomba uniweke kwenye simu. Halafu hiyo elfu kumi, unipe mkononi kwa sababu ya bodaboda hii, tusisumbukane.
Nikupe hii? Eeh. Kwaheri.
Jana ilikuwa wiki ya ngapi? Ah, ah, siku mbaya.
Dada yangu, yaani umesikia, yaani mimi, Al het geld dat ik heb, is dit.
Ja, wat moet ik je zeggen? Of moet ik ook anderen erbij betrekken?
Ach, nu wil ik gewoon... Ik wil je zeggen dat je me iets terugbetaalt, of zo.
Wat betaal ik je terug?
Ik wil je zeggen dat je me gewoon zo terugbetaalt.
End of transcript · 339 words · machine translated
Eh! Eh! Eh, uzuri, uzuri usiseme kitu hicho.
Daida! Umekuja, umekuja. Wewe tu. Ah, ah, ah, ah, ah!
Wewe, wewe tu. Ah! Mambo? Poa, mambo. Swali.
Mna hii, vipi? Mnaondoka? Hii? Hii? Hii. Sawa.
Elfu kumi. Eh? Elfu kumi. Ah, poa, naona.
Mademu wa kwetu huwa hawana hata bei. Elfu tano tu fresh, nikakaa asubuhi.
Mimi naona, viko bei bure. Nimepata kichwa cha elfu hamsini.
Elfu hamsini? Hee, hebu niweze kwanza kidogo hapa nyuma.
Maana leo naona kabisa kazi yangu inaenda kuwa ngumu.
Ule kisini ya cha nani? We kisini ya restaurant hapa juu.
Ha! Wanapatikana mkabala na mlimani city.
Ushapata hela, kesho utaagiza cha kwako uninyime.
Eh. Ulo tu. Na kesho naagiza cha kwangu unakuja uninyime.
Goodbye.
Jana Alhamdulillah ndio akatokea mtu. Eeeh, huyo kaka nakwambia aliniambia atanipea elfu hamsini.
Mimi nilimwambia, Alhamdulillah ndio zako. Eh!
Eeh, ndio hapa mi natoka hapa, nakuja muda si mrefu nitakuwa nishafika.
Eh, mwenzangu, kama unavyojua yeye pia tena.
Angenishusha. Ah, akawa tu haka, hana hata shida, kanyooka, hana shida kabisa.
Eh, basi sawa, mi nakuja kusema.
Eh.
Kaka. Mm. Kaka. Mm. Aya, nipe changu mi nipite.
Mm? Nipe changu, nataka niondoke mi. Ah, unataka utoke?
Sasa dada yangu, jana nimekuita pale nikakwambia, dada yangu, mi na hii, ukasema sawa.
Eeh, hiyo hiyo. Mimi nilikuwa nimekuelewa.
Eeh, sasa hapo elfu arobaini, naomba uniwekee kwenye simu. Halafu hiyo elfu kumi, unipatie mkononi kwa sababu ya bodaboda hii tusisumbuwane.
Nikupe hii? Eeh. Goodbye.
Jana nilikuwa juma ngapi? Ah, ah, siku mbaya.
Dada yangu, yaani umesikia, yaani mimi, mimi hela ambayo niliyonayo ni hii.
Ehe, ndio nakwambiaje? Au na wengine wausingize?
Ah, sasa hapa natamani si, mimi natamani nikwambie si, unilipizia sijui.
Nikulipizia nini?
Natamani nikwambie unilipizie tu hivyo flat.
TranslateMom transcribes and translates videos from X, TikTok, YouTube and Instagram. Paste a link and you get a page like this one, in your language.