0:00

Chunga nianze kusema. Chunga nianze kusema.

0:05

Tuko hapa kuleta information... huyu mama, hii masaka yote mnaona iko hapa, ashafunga watoto wake m'masaka, sasa aende akawatupe.

0:17

Huyu mmoja... - Ni wa bongo! Ni wa bongo!

0:20

Ni wa bongo yote! Ni wa bongo! Ni wa bongo! Ni wa bongo!

0:28

Huyu mmoja, huyu mmoja... - Ni wa bongo!

0:33

Toa na simu. Toa na simu. Basi fungula. Anza polepole. Una filma polepole.

0:43

Anza kufungua polepole, polepole. Polepole, polepole.

0:55

Anza kutosha, anza kutosha. Unafungua...

1:00

Angalia hata... huyu mwingine... Acha kufilma. Acha.

1:10

Anza kufilma. Una filma vizuri, una filma hivi sasa. - Nafilma.

1:15

Huyu naye... wacha nifungue. Huyu naye... hapa ndio nini?

1:25

Wewe makuta... kwanza toa mama... Asema... filma. Huyu mwingine...

1:37

Mwingine huyu... fungua polepole. Sema, sema. Huyu ndio uliingiza sasa, huyu ndio wa karibu.

1:47

Chunga polepole. Kaa chini. Kaa chini. Hawa watoto walifanya nini? Waliwekwa m'masaka.

2:04

Mujibu, walifanya nini? Angalia pale wote.

2:09

Hawa watoto wote waliingia m'masaka juu ya nini?

2:14

Sema sasa. Mama... Mwenye nani hawa watoto? Waliwakuta m'masaka juu ya nini?

2:24

Huyu dada yake, walifanya nini? Walikuta makuta?

2:29

Makuta ngapi? - 25,000. Waliwapatia adhabu ya kuwaweka m'masaka? - Ndio ya kuiba makuta.

End of transcript · 183 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Made with TranslateMom

TranslateMom transcribes and translates videos from X, TikTok, YouTube and Instagram. Paste a link and you get a page like this one, in your language.

Transcribed with TranslateMom. Paste any video link to get subtitles and a transcript in your language.

© 2026 TranslateMom · AI video translation and subtitles Transcripts Sources Pricing Legal