0:00

Kuhusiana na suala la mradi wa Dangote hapo.

0:03

Ah maswali kichwani tuna watu wanauliza labda ma tu Dangote ama kiwanda hicho kitakuwa kinazalisha zaidi ya tani aah aah el naam elfu mia saba labda mafuta ghafi haya yatakuwa yanatoka wapi? Maana tunajua kwamba nchi za Afrika Mashariki hazina ule uwezo wa kuweza kuzalisha mafuta aah ghafi ki kiasi hiki. Na ikizingatiwa kwamba tunataka tu

0:28

kuendelea kupanua ili tuwezi kutimiza yale mahitaji yetu ya mafuta.

0:32

Labda tutakuwa tunatwa wapi mafuta haya na nafasi ya taifa la Kenya tunajua kwamba tuna mafuta Turkana iko wapi?

0:41

Aahm kwanza tumekubaliana naaa aah Dangote ya kwamba yeye atasaidia sisi kama Kenya kujenga mfereji ama pipeline ambayo itaunganisha hii Lamu na kule Turkana ili tuweze kuyaleta yale mafuta hata ingawaje ni ni kidogo tuyalete Lamu.

1:10

So tumekwishakubaliana na yeye na amekubali kuwekeza to invest in a pipeline from Lamu to eeeh to Turkana.

1:22

Lakini mimi niliwahidi nyinyi wakenya, niliwambia ile mafuta iko pale Turkana tutatoa before December this year.

1:35

Itakuwa ina imeanza tumeanza kuhamisha kutoka kule umeanza kubeba before si nyinyi ni watu wa kuweka ma majira.

1:48

Ndio mnasumbua nayo. So December mwaka huu kwa mapenzi ya Mungu ile mafuta ya Turkana ambayo imekwama karibu miaka sijui ngapi tutaianza kuitoa pale.

2:03

Na nimeongea na huyu Bwana Dangote ya kwamba wakati anaendelea na kujenga Lamu pia tuweke eee mfereji ya kutoka hapa.

2:14

Tunaongea na nchi jirani ya Sudan na walikuwa hapa jana and just to answer your question ile umetema Samia Suluhu mimi nimeongea naye.

2:26

Ametuma waziri wake hapa. Rwanda ametuma waziri ake hapa. Burundi walikuwa hapa.

2:32

Ruanda eee Uganda walikuwa hapa. Kama kungekuwa na us uhasama hawa hawa hiyo nchi zote asingekuwa hapa. So just to answer your question.

2:42

Lakini eeh to answer his question. So number one Lake Turkana I have asked you I have answered you that we have already agreed with the investor ya kwamba tuta yeye atainvest eee kuweka mfereji kuhakikisha kwamba mafuta ya kutoka Turkana imefika Lamu. Lakini nimekuongezea ile haukuuliza ya kwamba mwaka huu

3:07

pia hiyo Turkana tutaanza kutoa mafuta ya pale.

3:12

Ni wapi tutatoa haya mafuta ghafi itatoka kila sehemu.

3:20

The same way hata ile ya Dangote ambayo ana eee ana anaendesha kule Leki kule Lagos anatoa crude everywhere in the world.

3:32

Mahali anapat mahali unapata grude crude kwa binafu unatoa ku kuko ndio unakuja unasafisha. Huyohuyo Dangote analeta mafuta kutoka sehemu zote duniani.

3:42

Anaosha ama anasafisha pale eee Leki na ulisikia yeye mwenyewe anasema twenty percent ya jet fuel ya Europe inatoka inatoka Nigeria. So hata hapa Kenya baadhi ya ile mafuta itaoshwa hapa Kenya ama itasafishwa hapa Kenya itakuwa ya Kenya jet fuel kwa sababu hatuna ndege nyingi pengine itauzwa Marekani zingine

4:09

zitauzwa sehemu zingine za za dunia kulingana na ile eee soko ambayo itakuwa imepatikana.

4:17

So that's how it's going to be. That is how all refineries do.

4:21

Unajua refinery haiwezi kutumia mafuta ama crude oil aina moja ndio nimeambiwa mimi.

4:28

Nimeambiwa ya kwamba you need different different eee types of crude oil ndio uweze kuchamusha ile mafuta.

4:36

So hata kama tungekuwa na yetu yetu peke yake haiwezi kutengeneza mafuta.

4:41

Lazima ichanganywe na zingine. So hata tukitoa yetu Lake Turkana bado ingine itahitajika kutoka sehemu zingine ndio ile mafuta ipikwe sawasawa ndio iweze kuwa oil products

End of transcript · 540 words

iPhone app Translate videos on your iPhone Paste a TikTok, Instagram or X link, add subtitles in your language and save the video to Photos.

Made with TranslateMom

TranslateMom transcribes and translates videos from X, TikTok, YouTube and Instagram. Paste a link and you get a page like this one, in your language.

Transcribed with TranslateMom. Paste any video link to get subtitles and a transcript in your language.

© 2026 TranslateMom · AI video translation and subtitles Transcripts Sources Pricing Legal